Welcome to Command and Staff College
Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (CSC)-Duluti, kilianzishwa mwaka 1979, miezi michache baada ya kumalizika kwa Vita vya Kegera, kikiwa na lengo la kuwavisha umahili Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na nchi marafiki katika kutekeleza majukumu ya Ukamanda na Unadhimu.Chuo hiki awali kilijengwa Fort Ikoma kwenye bonde la hifadhi ya mbuga ya Serengeti mkoani Mara; baadaye mwaka 1989 kikahamishiwa wilayani Monduli mkoani Arusha k... Soma zaidi
Habari Mpya
-
EX- NYOA
28th Feb 2024EX- NYOAStudent Officers Course 38/23-24 doing Map orientation during Ex- NYOA on February, 2024Student Officer (front) describing a features on the...
Soma zaidi -
28th Feb 2024
EXERCISE PANGANI on February, 2024.
Soma zaidi -
27th Feb 2023
EX – PANGANI
Soma zaidi -
31st Jan 2023
Brigedier General Mbaraka Naziad Mkeremy
Soma zaidi