Tangu kuanzishwa kwake Chuo cha Ukamanda na Unadhimu kimeongozwa na Wakuu wa Chuo wafuatao:
Kanali JC Kisanko (1979 - 1980)
Brigedia Jenerali AT Kitete (1981 - 1983)
Kanali SW Simba (1983 - 1984)
Brigedia Jenerali RL Makunda (1984 - 1985)
Brigedia Jenerali HC Lupogo (1985 - 1986)
Brigedia Jenerali WSM Kotta (1986 - 1990)
Brigedia Jenarali BJ Kabogo (1990 - 1993)
Brigedia Jenerali HAH Ngwilizi (1993 - 1995)
Brigedia Jenerali RO Mwambapa (1995 - 2002)
Brigedia Jenerali CL Makakala (2003 - 2005)
Brigedia Jenerali FN Ulomi (2005 - 2007)
Meja Jenerali EE Kyunga (2007 - 2016)
Brigedia Jenerali SM Minja (2016 - 2017)
Meja Jenerali HJ Masebo (2017 -18)
Brigedia Jenerali IM Mhona (2018 -2019)
Brigedia Jenerali FB Shirima (2019 -2020)
Brigedia Jenerali SD Ghuliku (Hadi sasa)
Chuo cha Ukamanda na Unadhimu
Post Office Box 7205
ARUSHA, Tanzania
info@cscduluti.mil.tz
+255 27 2970130
Copyright © 2016 Chuo cha Ukamanda na Unadhimu . Haki zote zimehifadhiwa.