News Bulletin ni Jukwaa la Maafisa Wanafunzi wanohudhuria Kozi ya Ukamanda na Unadhimu kutoa mawazo yao kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama, ambalo hutolewa kila mwezi. wanafunzi huandika Makala na kuziwasilisha kwa Wanadhimu Elekezi.