Welcome to Command and Staff College
Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (CSC), kilianzishwa mwaka 1979 miezi michache baada ya kumalizika kwa vita vya Kegera, kikiwa na lengo la kuwavisha umahili Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na nchi marafiki katika kutekeleza majukumu ya Ukamanda na Unadhimu.Chuo hiki awali kilijengwa Fort Ikoma kwenye bonde la hifadhi ya mbuga ya Serengeti mkoani Mara; baadaye mwaka 1989 kikahamishiwa wilayani Monduli mkoani Arusha kikiwa sa... Soma zaidi
Habari Mpya
-
Picha ya Pamoja
26th Jan 2023Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo (katikati waliokaa), Mkuu wa Utumishi Jeshini Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli (watano ku...
Soma zaidi -
26th Jan 2023
Ukataji Utepe
Soma zaidi -
23rd Feb 2022
Uzinduzi wa Bwalo la Askari
Soma zaidi -
23rd Feb 2022
Ugeni wa Mkuu wa Majeshi katika Chuo cha Ukamanda na Unadhimu -Duluti
Soma zaidi