UDAHILI
Chuo kina Dahili Maafisa Wakuu wa cheo cha Meja na Luteni Kanali waliokidhi vigezo vya kujiunga na Kozi ya Ukamanda na Unadhimu, vilivyowekwa na Majeshi yao.