Habari
ZIARA YA WAZIRI WA ULINZI
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Elias John Kwandikwa ( aliyevaa suti ya bluu) akikagua maeneo ndani ya Chuo cha Ukamanda na Unadhimu—Duluti alipofanya ziara ya kikazi tarehe 23 May , 2021.