Habari

ZIARA YA WAZIRI WA ULINZI



Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Elias John Kwandikwa (aliyevaa suti ya bluu) akisalimiana na Maofisa Wanadhimu wa Chuo cha Ukamanda na Unadhimu-Duluti alipowasili chuoni kwa ajili ya ziara ya kikazi tarehe 23 May,2021