Habari

Ugeni wa Mkuu wa Majeshi katika Chuo cha Ukamanda na Unadhimu -Duluti


Mkuu waMajeshi ya Ulinzi,Jenerali Venance Salvatory Mabeyo akisalimiana na Wakufunzi waelekezi, Wataalamu kutoka India pamoja na Wanadhimu mbalimbali waChuo cha Ukamanda naUnadhimu– Duluti alipowasili Chuoni hapo kwa ajili ya Uzinduzi wa Bwalo la Askari, tarehe 10 February, 2022.