Habari
Picha ya Pamoja
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo (katikati waliokaa), Mkuu wa Utumishi Jeshini Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli (watano kutoka kulia), Mkuu wa Chuo cha Ukamanda na Unadhimu-Duluti Brigedia Jenerali Silvester Damian Ghuliku (watano kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Askari wa Chuo cha Ukamanda na Unadhimu baada ya uzinduzi wa Bwalo la Askari chuoni hapo.