Habari

Safari ya Kikazi Chuo cha Ukamanda na Unadhimu Duluti


Mkuu wa Majenzi ya Ulinzi na Kujenga Taifa Jenarali Venance Salvatory Mabeyo akiwasili katika Chuo cha Ukamanda na Unadhimu Duluti kwa safari ya kikazi.