Habari
Kikao cha Bodi
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Yacoub Hassan Mohamed (aliyepokea saluti) akiwa na mwenyeji wake Brigedia Jenerali Silvester Damian Ghuliku akisalimiana na Mkufunzi Mkuu wa Chuo CSC Kanali Ally Ramadhani Gumbo na Timu ya Wataalamu wa kijeshi kutoka India baada ya kuwasili chuoni kwa ajili ya Kikao cha Bodi ya Chuo tarehe 29 Aprili, 2021