Habari
Kikao cha Bodi
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Yacoub Hassan Mohamed akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili chuoni hapo kwa ajili ya Kikao cha Bodi ya Chuo kilicho fanyika tarehe 29 Aprili, 2021