Habari
Guest Speaker
Wanafunzi Maofisa wa Kozi ya CSC 35/20 wakisikiliza mhadhara kutoka kwa Mdhibiti Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Meja Jeneali ME Mkingule (hayupo pichani) tarehe 24 May 2021 katika Ukumbi wa Fort Ikoma kwenye Chuo cha Ukamanda na Unadhimu– Duluti.