Habari
Guest Speaker
Mdhibiti Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),Meja Jenerali ME Mkingule akitoa mhadhara kwa Wanafunzi Maofisa wa Kozi ya CSC 35/20 ( hawapo pichani) katika Ukumbi wa Fort Ikoma katika Chuo cha Ukamanda na Unadhimu-Duluti tarehe 24 May, 2021.