Habari

Guest Speaker


Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali YH Mohamed (katikati, waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Chuo, Wanadhimu waelekezi na Wanafunzi Maofisa wa Kozi ya CSC 35/20 baada ya kumaliza kutoa mhadhara kwa Wanafunzi hao tarehe 25 May, 2021