Habari

Guest Speaker


Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali YH Mohamed akitoa mhadhara kwa Wanafunzi Maofisa Kozi ya CSC35/20 (hawapo pichani) katika Ukumbi wa Fort Ikoma katika Chuo cha Ukamanda na Unadhimu—Duluti tarehe 25 May, 2021.