Habari

Guest Speaker


Brigedia Jenerali SJ Mnkande (kushoto) akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili chuoni kwa ajili ya kutoa Mhadhara kwa Maofisa Wanafunzi wa Kozi ya CSC 35/20 tarehe 17 May, 2021 ,kulia ni Kaimu Mkuu wa Chuo Brigedia Jenerali SD Ghuliku.