Habari
Guest Speaker
Brigedia Jenerali SJ Mnkande (aliyevaa kombati) akikagua gwaride la mapokezi lililoandaliwa na Chuo cha Ukamanda na Unadhimu alipofika chuoni kwa ajili ya kutoa Mhadhara kwa Maofisa Wanafunzi wa Kozi ya CSC 35/20 tarehe 17 May, 2021