Habari

,



Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Yacoub Hassan Mohamed (aliyevaa kombati) akikagua gwaride la mapokezi lililo andaliwa kwa ajili yake mara baada ya kuwasili chuoni kwa ajili ya Kikao cha Bodi ya Chuo tarehe 29 Aprili,2021